Kitaifa

Ahadi 10 za Mo baada ya kuwekeza Sh 20 bilioni Simba

on

1. Kujenga viwanja viwili bora (chenye nyasi asilia na nyasi bandia)

2. Kujenga hosteli ya wachezaji na benchi la ufundi yenye vyumba 35 (30 wachezaji, 5 viongozi wa benchi la ufundi)

3. Kujenga mgahawa kwa ajili ya wachezaji

4. Kujenga gym na Bwawa la kuogelea kwa ajili ya wachezaji

5. Kujenga kituo cha kulea vijana chini ya umri wa miaka 14, 16, 18

6. Kurejesha Simba katika historia ya kimataifa

7. Kutenga Sh 500 milioni kwa ajili ya benchi la ufundi na Sh 1 bilioni kwa ajili ya usajili wa wachezaji kila msimu.

8. Kuitengeneza brand ya Simba pamoja na vifaa vya klabu kama jezi, kofia.

9. Wachezaji kujituma na kutambua thamani ya klabu ya Simba

10. Kushindana na timu kubwa Afrika na sio Tanzania pekee.

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU KWA HABARI ZAIDI
Washirikishe rafiki zako habari hii kwa kuwatumia kupitia mitandao ya kijamii hapa chini

About Sheila Ally

Recommended for you

1 Comment

  1. Muharami Nyambi

    December 3, 2017 at 2:22 pm

    WENGINE WAFUATE NYAYO KAMA WATAWEZA

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *