Kitaifa

Furaha yamfanya waziri wa Magufuli amwage noti Coastal Union

on

WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu alivyoungana na mashabiki wa Coastal Union kuisapoti kwenye uwanja wa Mkwakwani timu hiyo ikicheza dhidi ya Mufindi FC ambapo Coastal imeshinda bao 3-0.

Coastal Union inaongoza Kundi C katila msimamo wa Ligi Daraja la Kwanza (FDL) wakiwa na pointi 21 sawa na JKT Mlale ila Coastal wapo mbele kwa magoli mengi ya kufunga.

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU KWA HABARI ZAIDI
Washirikishe rafiki zako habari hii kwa kuwatumia kupitia mitandao ya kijamii hapa chini

About Isaya Mwaseba

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *