Kitaifa

Hiki hapa kikosi bora kombe la Mapinduzi

on

KAMATI ya mashindano ya kombe la Mapinduzi imetangaza kikosi bora cha michuano hiyo mara baada ya kumalizika hapo jana usiku kwa Azam FC kutwaa ubingwa. Hiki hapa kikosi kamili.

KIKOSI CHA KWANZA

1-Alionzi Nafian (URA)
2-Nicholas Gyan (Simba)
3-Shafiq Batambuzi (Singida)
4-Bruno Costa (Mwenge)
5-Yakubu Mohamed (Azam)
6-Julius Mutyaba (URA)
7-Feisal Salim (JKU)
8-Mudathir Yahya (Singida)
9-Labama Bokota (URA)
10-Ibrahim Hamad Hilika (Zimamoto)
11-Moses Ssefuyide (URA)

WACHEZAJI WA AKIBA
-Razak Abalora (Azam)
-Hassan Kessy (Yanga)
-Asante Kwasi (Simba )
-Kennedy Juma (Singida)
-Shafik Kagimu (URA)
-Papy Kambale (Singida)
-Danny Lyanga (Singida)

Kocha Mkuu:- Hans Van Der Pluijm (Singida)
Kocha Msaidizi:- Paul Nkata (URA)

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU KWA HABARI ZAIDI
Washirikishe rafiki zako habari hii kwa kuwatumia kupitia mitandao ya kijamii hapa chini

About Karim Boimanda

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *