Habari za kuaminika za michezo na burudani kila wakati.

Hizi hapa sababu za Lipuli kumzuia Salamba kutua Yanga

0 632

BAADA ya taarifa kusambaa kuwa timu ya soka ya Lipuli imekataa ombi la Yanga kutaka  kumuazima straika wao Adam Salamba ili awasaidie kwenye michuano ya kimataifa, barua yenye sababu zote za kukataa kwao imepatikana.

Barua hiyo iliyosainiwa na Katibu wa klabu, Amon Lweramila imesema Lipuli wameshindwa kumruhusu kwavile kanuni za TFF, CAF na FIFA haziruhusu mchezaji kuchezea  zaidi ya timu mbili ndani ya msimu mmoja ambapo Salamba ameshazitumikia Stand United na Lipuli msimu huu.

Related Posts
1 of 18

Isome barua yenyewe;

Barua ya Lipuli kwenda Yanga

Get real time updates directly on you device, subscribe now.

Comments
Loading...