Kitaifa

Kyombo atwaa tuzo ya mchezaji bora VPL Disemba 2017

on

MSHAMBULIAJI wa Mbao FC ya Mwanza, Habibu Kyombo amechaguliwa Mchezaji Bora wa mwezi Disemba wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) msimu wa 2017/2018.

Kyombo atakabidhiwa kiasi cha sh milioni moja, king’amuzi cha Azam TV na tuzo maalumu.

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU KWA HABARI ZAIDI
Washirikishe rafiki zako habari hii kwa kuwatumia kupitia mitandao ya kijamii hapa chini

About Karim Boimanda

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *