Habari za kuaminika za michezo na burudani kila wakati.

Ligi ya wavu Dar kuendelea Jumamosi hii

0 60

LIGI ya mpira wa vavu mkoa wa Dar es Salaam itaendelea wikiendi hii kwa michezo mitatu kwenye uwanja wa chuo cha DIT mwishoni kesho Jumamosi.

Mchezo wa awali kwa upande wa wanaume utawakutanisha wenyeji COS dhidi ya Mji Mwema ya Kigamboni.

Timu ya IP Sports inayokamata nafasi ya pili kwenye msimamo kwa upande wa wanaume itacheza na Victory.

Kwa upande wa Wanawake timu ya Dar Star inayoshikilia nafasi ya mwisho itacheza na Makongo.

Get real time updates directly on you device, subscribe now.

Comments
Loading...