Kitaifa

Malaria yamrejesha Tambwe Dar

on

MSHAMBULIAJI wa Yanga Amissi Tambwe amerejea jijini Dar es Salaam leo akitokea Zanzibar kutokana na matatizo ya kiafya.

Yanga ipo visiwani Zanzibar ikishiriki michuano ya Mapinduzi inayotarajiwa kufikia tamati Januari 13.

Kwa mujibu wa Daktari wa Yanga Edward Bavu wameamua kumrejesha mshambuliaji huyo Dar baada ya kuugua malaria zaidi ya siku nne sasa.

“Ana malaria zaidi ya siku nne sasa, tumelazimika kumrejesha Dar kwa matibabu zaidi,” alisema.

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU KWA HABARI ZAIDI
Washirikishe rafiki zako habari hii kwa kuwatumia kupitia mitandao ya kijamii hapa chini

About Clezencia Tryphone

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *