Habari za kuaminika za michezo na burudani kila wakati.

Maneno 6 mazito ya Yanga baada ya kuutema ubingwa

0 852

YANGA waliutema rasmi ubingwa wao wa Ligi Kuu ya Vodacom hapo jana baada ya kukubali kichapo cha mabao 2-0 toka kwa wenyeji wao Tanzania Prisons.

Matokeo hayo yalikuwa ni kama taa ya kijani kwa Wekundu wa Msimbazi Simba kutawazwa mabingwa wapya kwani pointi 65 walizonazo haziwezi kufikiwa na Yanga hata wakishinda mechi zao zote tano zilizobaki.

Related Posts
1 of 18

Baada ya matokeo hayo Yanga walipost kwenye ukurasa wao wa mtandao wa kijamii wa Twitter maneno sita mazito yenye lengo la kudumisha umoja katika timu hata pale inapofanya vibaya, “We Win Together, We Lose Together”

Get real time updates directly on you device, subscribe now.

Comments
Loading...