Kimataifa

Matokeo, ratiba kombe la Mapinduzi na mechi kubwa duniani

on

MECHI mbalimbali zilichezwa jana huku pia leo kukiwa na mitanange mikubwa na ya kusisimua kwenye kombe la Mapinduzi, Copa del Rey, ligi kuu Uingereza na michuano mingine.

Hapa tumekuwekea matokeo ya mechi za jana pamoja na ratiba za leo.

MATOKEO YA MECHI ZA JANA

KOMBE LA MAPINDUZI
URA 1-0 Mwenge
Azam 4-0 Jamhuri
Half Time – Taifa ya Jang’ombe 1-3 Singida United

LIGI KUU UINGEREZA
Arsenal 2-2 Chelsea

COPA DEL REY (Hispania)
Formentera 1-3 Deportivo Alaves
Lleida 0-4 Atletical Madrid
Cadiz 0-2 Sevilla
Las Palmas 1-1 Valencia

COPA ITALIA
Juventus 2-0 Torino

RATIBA YA MECHI ZA LEO

KOMBE LA MAPINDUZI
Saa 8:30 Mchana
Singida United vs Taifa Jang’ombe (kumalizia dakika 45)

Saa 10:30 Jioni
JKU vs Yanga Sc

Saa 2:15 Usiku
Simba Sc vs Jamhuri

LIGI KUU UINGEREZA
Saa 5:00 Usiku
Tottenham vs West Ham

COPA DEL REY (Hispania)
Saa 3:00 Usiku
Celta de Vigo vs Barcelona

Saa 3:00 Usiku
Leganés vs Villarreal

Saa 5:00 Usiku
Espanyol vs Levante

Saa 5:00 Usiku
Numancia vs Real Madrid

 

Tafadhali SUBSCRIBE BOIPLUS TV kwenye YouTube kwa kugusa picha hii hapa chini 👇

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU KWA HABARI ZAIDI
Washirikishe rafiki zako habari hii kwa kuwatumia kupitia mitandao ya kijamii hapa chini

About Karim Boimanda

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *