Kimataifa

MOURINHO: Neymar ameharibu bei za usajili

on

KOCHA wa klabu ya Manchester United Mreno Jose Mourinho amejisifu kwa kumnasa Romelu Lukaku mapema kwani usajili wa Neymar kwenda PSG uliharibu bei za usajiri barani Ulaya.

“Nahisi tumekuwa wajanja, tulifikiri kitu kitakachotokea katika soko la usajili. Soko lililopita halikuwa ghali ila msimu huu Neymar kabadilisha kila kitu na kuweka mambo vibaya,nafikiri Agosti 31 tungeweza msajili Lukaku kwa paundi 150 na Matic paundi 60 au 70 milioni” alisema Mourinho

Paris St Germain iliishangaza dunia kwa kumnasa Mbrazil Neymar Da Silva kwa ada ya uhamisho ya paundi 198 milioni huku Barcelona ikifutia kuvunja rekodi yake ya usajili kwa kumnasa Dembele kwa paundi 97 milioni.

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU KWA HABARI ZAIDI
Washirikishe rafiki zako habari hii kwa kuwatumia kupitia mitandao ya kijamii hapa chini

About Abra David Jr

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *