Kimataifa

Nani kuungana na hawa vigogo 12 UEFA?

on

MICHEZO minane ya ligi ya mabingwa barani Ulaya iliyopigwa usiku wa kuamkia leo imefanya idadi ya timu zilizofuzu kutinga hatua ya 16 bora kufikia 12.

Idadi hiyo inamaanisha zimebakia nafasi nne tu ambazo baadhi ya vigogo wa soka barani Ulaya wataingia dimbani usiku wa leo kuzigombania.

Haya hapa ni matokeo ya mechi za jana pamoja na timu 12 ambazo zimeshafuzu hatua hiyo;

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU KWA HABARI ZAIDI
Washirikishe rafiki zako habari hii kwa kuwatumia kupitia mitandao ya kijamii hapa chini

About Karim Boimanda

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *