Afrika

Ndikumana wa Uwoya afariki dunia ghafla

on

BEKI wa zamani wa timu ya taifa ya Rwanda na kocha msaidizi wa Rayon Sports Hamad Ndikumana ‘Katauti’ amefariki dunia ghafla usiku wa kuamkia leo jijini Kigali.

Kataut aliyewahi kuichezea Rayon Sports kwa mafanikio makubwa ni mume wa zamani wa muigizaji maarufu nchini, Irene Uwoya ambaye ameolewa na msanii Dogo Janja hivi karibuni.

Hamad Ndikumana Katauti

Hamad Ndikumana akiwa kazini na kikosi cha Rayon

Beki huyo wa zamani wa Stand United ya Shinyanga iliyomsajili akitokea Cyprus, alikuwepo kwenye mazoezi ya Rayon jana.

Ndikumana alitua nchini kwa mara ya mwisho Agosti 7 akiwa na kikosi cha Rayon kilichopambana na Simba kwenye tamasha la Simba Day Agosti 8.

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU KWA HABARI ZAIDI

About Karim Boimanda

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *