Habari za kuaminika za michezo na burudani kila wakati.

PICHA: Mazishi ya kocha Jack Chamangwana leo

0 1,020

WAPENZI wa soka hasa wananchi wa Malawi walikuwa kwenye majonzi makubwa wakati wa mazishi ya kocha wa zamani wa Yanga Jack Chamangwana hivi leo.

Chamangwana ambaye ni nahodha wa zamani wa timu ya Taifa ya Malawi ‘The Flames’ alifariki juzi Jumapili kwa matatizo presha akiwa na umri wa miaka 61.

Related Posts
1 of 2

Hizi hapa picha za matukio wakati wa mazishi.

Get real time updates directly on you device, subscribe now.

Comments
Loading...