Habari za kuaminika za michezo na burudani kila wakati.

PICHA: Mazoezi ya Ngorongoro Heroes, Kabwili ndani

0 297

TIMU ya Taifa ya vijana chini ya miaka 20, Ngorongoro Heroes jana jioni iliendelea na mazoezi ya kujiweka sawa katika uwanja wa Taifa kabla ya kupambana na Mali (U20) kwenye mchezo wa raundi ya pili ya kuwania kufuzu fainali za vijana.

Mechi hiyo itapigwa katika dimba hilo hilo Jumapili hii ya Mei 13. Hizi hapa ni picha za mazoezi hayo ya jana ambapo kipa wa Yanga, Ramadhan Kabwili ambaye alitofautiana na kocha Ammy Ninje alikuwa na wenzake kikosini hapo.

Related Posts
1 of 2

Get real time updates directly on you device, subscribe now.

Comments
Loading...