Kimataifa

+PICHA: Nyie hangaikeni, Sanchez huyu hapa anaendelea na ‘tizi’ Arsenal

on

LICHA ya tetesi nyingi za nyota wa Arsenal, Alexis Sanchez kufuzu vipimo vya afya katika klabu ya Manchester United, ameonekana leo akifanya mazoezi na kikosi cha washika Bunduki hao kuashiria bado ‘hakijaeleweka’.

Sanchez anatajwa kukaribia kutimka klabuni hapo na kujiunga na Mashetani Wekundu, Manchester United ambao wameonyesha nia ya kupata saini yake.

Hizi hapa ni picha zake za leo zinazomuonyesha akiendelea kufanya mazoezi chini ya kocha Arsene Wenger.

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU KWA HABARI ZAIDI
Washirikishe rafiki zako habari hii kwa kuwatumia kupitia mitandao ya kijamii hapa chini

About Karim Boimanda

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *