Afrika

+PICHA: Stars, Libya walivyoshindwa kutambiana Chalenji

on

TIMU ya taifa ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Stars jioni hii imetoshana nguvu na Libya katika mchezo wao wa kwanza wa michuano ya Chalenji inayoendelea jijini Nairobi, Kenya.

Timu hizo zilikuwa zikishambuliana kwa zamu ingawa umakini katika umaliziaji kwa timu zote ulikuwa tatizo.

Hizi hapa ni picha za matukio katika mechi hiyo:

Gardiel Michael kulia akichuana na straika wa Libya

Licha ya kupambana mara kadhaa, Elius Maguri alishindwa kuipatia bao Kilimanjaro Stars

Mbaraka Yusuf pia alikuwa katika safu ya ushambuliaji ya Stars

Kiraka Erasto Nyoni akimiliki mpira mbele ya wachezaji wa Libya

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU KWA HABARI ZAIDI

About Sheila Ally

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *