Afrika

Salah atisha tuzo za mchezaji bora Afrika

on

SHIRIKISHO la kandanda barani Afrika (CAF) usiku wa Alhamisi Januari 5 limemtangaza raia wa Misri Mohamed Salah wa Liverpool kuwa mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa mwaka 2017.

Straika huyo anayetisha kwa magoli kwenyr ligi kuu Uingereza amewashinda mastaa wenzake Pierre-Emerick Aubameyang (Gabon, Borussia Dortmund) na Sadio Mane (Senegal, Liverpool).

Hizi hapa tuzo zote Afrika;

Mchezaji bora wa Afrika ni Mohamed Salah

 

Mchezaji bora wa Afrika (Wanawake) ni Asisat Oshoala

 

Mchezaji bora kijana Patson Daka

 

Kocha bora ni Hector Cuper

 

Timu bora ya Taifa (Wanaume) ni Misri

 

Timu bora ya Taifa (Wanawake) ni Afrika Kusini

 

Klabu bora ya mwaka ni Wydad Athletic Club

 

Washindi wa tuzo ya mchezaji bora tangu mwaka 1992

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU KWA HABARI ZAIDI

About Karim Boimanda

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *