Kitaifa

Serengeti yaweka ‘mkwanja’ ligi ya wanawake

on

Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) imeingia mkataba wa miaka mitatu na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) kwa ajili ya kuidhamini ligi ya wanawake (WPL).

Mkataba huo wenye thamani ya sh 450 milioni umesainiwa leo Januari 10 huku ukitarajiwa kuleta neema  na kuongeza msisimko kwenye ligi hiyo.

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU KWA HABARI ZAIDI
Washirikishe rafiki zako habari hii kwa kuwatumia kupitia mitandao ya kijamii hapa chini

About Karim Boimanda

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *