Afrika

Straika ‘mpya’ Simba, Mavugo kuiongoza Burundi dhidi ya Uganda leo

on

MSHAMBULIAJI Shassir Nahimana anayetajwa kuwaniwa na wekundu wa Msimbazi, Simba leo atashirikiana na mwenzake Laudit Mavugo katika safu ya ushambuliaji ya timu ya taifa ya Burundi dhidi ya Uganda.

Shassir ambaye ni tegemeo katika kikosi cha Rayon Sports ya Rwanda amekuwa kwenye rada za Simba kwa kipindi kirefu ingawa kwa siku za hivi karibuni inaonekana kama mabingwa hao wa kombe la shirikisho wamepunguza kasi.

Hivi hapa ni vikosi vya Uganda na Burundi vinavyopambana leo;

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU KWA HABARI ZAIDI

About Karim Boimanda

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *