Kitaifa

Tazama Manula alivyofunga ndoa leo

on

Aishi Manula amefunga ndoa leo hii huko Kilombero mkoani Morogoro. Hiyo ni baada ya uongozi kumruhusu kutoka kambini mjini Zanzibar ambako timu yake ya Simba inashiriki michuano ya kombe la Mapinduzi.

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU KWA HABARI ZAIDI
Washirikishe rafiki zako habari hii kwa kuwatumia kupitia mitandao ya kijamii hapa chini

About Karim Boimanda

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *