Afrika

TOP TEN: Wanasoka matajiri zaidi Afrika 2017

on

SOKA imekuwa ajira kubwa hapa Afrika na duniani kwa ujumla huku ikitengeneza mamilionea wengi kila siku kutokana na mishahara minono na ada za uhamisho.

Wachezaji wa kiafrika wamekuwa lulu barani Ulaya kutokana na tabia yao ya kujituma jambo lililopelekea kununuliwa kwa bei za juu na kuwemo kwenye orodha ya wachezaji wanaolipwa vizuri zaidi.

Hii hapa ni orodha ya wachezaji 10 wa kiafrika wanaoongoza kwa utajiri uliotokana na kazi za miguu yao;

10. Christopher Samba (DR Congo) – $ 8 Milioni

9. Seydou Keita (Mali) – $ 10 Milioni

8. Frederic Kanoute (Mali) – $ 12 Milioni

7. John Obi Mikel (Nigeria) – $ 15 Milioni

6. Kolo Toure (Ivory Coast) – $ 18 Milioni

5. Michael Essien (Ghana) – $ 25 Milioni

4. Emmanuel Adebayor (Togo) – $ 27 Milioni

3. Yaya Toure (Ivory Coast) – $ 65 Milioni

2. Didier Drogba (Ivory Coast) – $ 70 Milioni

1. Samuel Eto’o (Cameroon) – $ 90 Milioni

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU KWA HABARI ZAIDI

About Karim Boimanda

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *