Burudani

UNI AWARDS kwa wanafunzi wa vyuo hii si ya kukosa

on

Uniawards ni jina fupi la ‘Inter university awards

Haya ni mashindano kwa wanafunzi wa vyuo vikuu nchini yenye lengo kuu la kutatua ukosefu wa ajira kwa vijana walioko vyuoni baada ya kuhitimu masomo yao.

Hivyo uniawards imeandaa Mashindano haya kwa kusudi maalum la kutafuta, kukuza na ‘kubrand’ vipaji vya wanafunzi kwa njia halisi zitakazo wawezesha kupata ujuzi wa kutosha kujiajiri na pia kupata nafasi za ajira kwa urahisi.

Kuna vipengele vingi zaidi kama ifuatavyo:-

 • Best female actress,
  Best male actor,
  Best Comedian,
  Best female model,
  Best male Model,
  Best Business Idea,
  Best ICT project,
  Best radio presenter,
  Best Tv host,
  Best female & male Designer, Best photography,
  Best dancers group,
 • Best Hand art, Best male&female singer

Kwa maelezo zaidi jinsi ya kushiriki tembelea tovuti http://www.uniawards.com/

[email protected]

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU KWA HABARI ZAIDI
Washirikishe rafiki zako habari hii kwa kuwatumia kupitia mitandao ya kijamii hapa chini

About Boiplus Media

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *