Boiplus TV

+VIDEO: Basi la Mbao FC lilivyopokelewa kwa shangwe Shinyanga

on

BASI jipya la timu ya Mbao FC limewasili mjini Shinyanga likiwa njiani kuelekea jijini Mwanza yaliko makao makuu ya klabu hiyo  ambayo inajiandaa kupambana na Azam FC Jumamosi hii.

Hii hapa ni video inayoonesha wakazi wa Shinyanga walivyofurahia ujio wa basi hilo lilitolewa na mdhamini wao mkuu kampuni ya GF Trucks & Equipment ya jijini Dar es Salaam.

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU KWA HABARI ZAIDI
Washirikishe rafiki zako habari hii kwa kuwatumia kupitia mitandao ya kijamii hapa chini

About Karim Boimanda

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *