Burudani

+VIDEO: Lulu awasili Mahakamani mauaji ya Kanumba

on

MSANII maarufu wa kike wa filamu za Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amewasili mahakama kuu anakokabiliwa na kesi ya kumuua msanii mwenzake Steven Kanumba bila kukusudia.

Lulu ambaye yupo nje kwa dhamana anadaiwa kutenda kosa hilo Aprili 7, 2012 nyumbani kwa Kanumba, Sinza Vatican, ambapo ni kinyume na kifungu cha 195 cha sheria ya kanuni za adhabu.

Kesi hiyo inasikilizwa na Jaji Sam Rumanyika.

 

CHANZO: Mwananchi Digital

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU KWA HABARI ZAIDI

About Karim Boimanda

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *