Afrika

+VIDEO: Msuva alivyotupia licha ya kushindwa kuiokoa El Jadidi

on

USIKU wa kuamkia leo winga wa Difaa El Jadidi raia wa Tanzania, Simon Msuva alifungia timu yake bao zuri dhidi ya Wydad Casablanca kwenye mchezo wa ligi kuu nchini Morocco maarufu kama Botola Pro.

Licha ya bao hilo, Msuva alishindwa kuiokoa timu yake hiyo isipate kipigo toka kwa wenyewe hao ambao waliibuka na ushindi wa mabao 2-1.

Hii hapa ni video ya bao la Msuva:

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU KWA HABARI ZAIDI

About Karim Boimanda

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *