Boiplus TV

+VIDEO: Tazama Simba ilivyopokelewa kwa mbwembwe mjini Lindi

on

TIMU ya Simba imepita mjini Lindi mchana wa leo na kupokelewa na mamia ya mashabiki wao waliokuwa wakiwasindikiza kwa vyombo vya moto zikiwemo pikipiki.

Simba wamepita mjini hapo wakiwa njiani kuelekea Mtwara kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya wenyeji wao Ndanda FC.

Tazama video hii:

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU KWA HABARI ZAIDI

About Karim Boimanda

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *