Boiplus TV

+VIDEO: Tazama watu wanavyopagawa na ‘mavitu’ ya Messi

on

KILA mmoja ana mihemko yake pale mwanasoka anapofanya kitu cha ajabu uwanjani. Hapa tumekuwekea video inayoonesha matendo ya baadhi ya mastaa kutokana na ‘mavitu’ ya star wa Barcelona Lionel Messi.

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU KWA HABARI ZAIDI

About Karim Boimanda

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *