Boiplus TV

Video Zilizotamba Baada ya Yanga Kutwaa Ubingwa wa VPL

on

Jumamosi iliyopita Yanga ilitwaa ubingwa wa ligi kuu ya Vodacom kwenye dimba la CCM Kirumba Mwanza licha ya kufungwa bao moja na Mbao FC ambapo baada ya zoezi la kukabidhiwa kombe kukamilika wachezaji wa Yanga waliingia kwenye basi lao tayari kwa safari ya kurejea hotelini.

Wakati wakiwa kwenye basi hilo ndipo winga machachari wa wanajangwani hao, Deus Kaseke alipokamata kipaza sauti cha BOIPLUS TV na kuanza kuwahoji wachezaji wenzake kama anavyoonekana kwenye video hizi.

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU KWA HABARI ZAIDI
Washirikishe rafiki zako habari hii kwa kuwatumia kupitia mitandao ya kijamii hapa chini

About Boiplus Media

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *