Kimataifa

Wafahamu nyota wengine walioingia ‘Top Ten’ Ballon d’Or 2017

on

BAADA ya kundi la waandishi wa habari 173 kupiga kura ilikuwa wazi kuwa nyota wa Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo aliwafunika nyota wenzake na kutwaa tuzo ya Ballon d’Or kwa mara ya tano.

Katika hatua ya mwisho Ronaldo alikuwa akichuana na Lionel Messi na Neymar Jr ambao aliwabwaga. Hii hapa ni orodha ya wanasoka wote walioingia ‘Top Ten’ katika kinyang’anyiro hicho.

1. Cristiano Ronaldo (Real Madrid)

 

2. Lionel Messi (Barcelona)

 

3. Neymar Jr (PSG)

 

4. Gianluigi Buffon (Juventus)

 

5. Luka Modric (Real Madrid)

 

6. Sergio Ramos (Real Madrid)

 

7. Kylian Mbappe (PSG)

 

8. N’Golo Kante (Chelsea)

 

9. Robert Lewandowski (Bayern Munich)

 

10. Harry Kane (Tottenham Hotspur)

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU KWA HABARI ZAIDI

About Karim Boimanda

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *