The sports Hub

BASATA Yawafungia Diamond, Rayvan

0 485

BARAZA la Sanaa la Taifa (BASATA) limewafungia wasanii Nasib Abdul (Diamond Platnumz) na Raymond Shaban Mwakyusa (Rayvan) kutofanya onyesho lolote ndani na nje ya nchi kwa muda usiojulikana kutokana na kile kilichoelezwa kuwa ni kudharau maelekezo ya mamlaka.

Hii hapa barua ya BASATA.

Get real time updates directly on you device, subscribe now.