The sports Hub

BREAKING NEWS: Clouds Waahirisha Tamasha la Tigo FIESTA Dar

0 149

KAMPUNI ya Clouds Media Group pamoja na Kamati ya Tigo Fiesta wametangaza kusitisha tamasha hilo ambalo lilipangwa kufanyika leo kwenye viwanja vya Leaders Club.

Katika taarifa iliyotolewa hivi punde na kamati hiyo imeelezwa kuwa sababu zilizopelekea maamuzi hayo ni zilizo nje ya uwezo wao.

Get real time updates directly on you device, subscribe now.