The sports Hub

BREAKING: Taarifa Mpya Kuhusu Majeraha ya Erasto Nyoni

0 904

KIRAKA wa Simba, Erasto Nyoni atakuwa nje ya uwanja kwa wiki tatu kufuatia majeraha ya goti aliyoyapata katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi dhidi ya KMKM hapo jana.

Kwa mantiki hiyo Nyoni ataukosa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya JS Saoura unaotarajiwa kuchezwa kwenye dimba la Taifa jijini Dar es Salaam January 12.

Nyoni
Erasto Nyoni akiwa ndani ya gari baada ya kutoka Hospitali.

Get real time updates directly on you device, subscribe now.