Picha

Tazama Chelsea, Tottenham Watakavyonoga Msimu Ujao

on

KLABU za Chelsea na Tottenham Hotspurs zimetambulisha jezi zao mpya kwa ajili ya msimu ujao wa ligi.

Jezi ya bluu kwa ajili ya mechi za nyumbani (kushoto) na jezi nyeupe ni kwa ajili ya mechi za ugenini za Chelsea

Hii ni jezi ya ugenini ya Tottenham Hotspurs

Jezi kwa ajili ya mechi za nyumbani

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU KWA HABARI ZAIDI
Washirikishe rafiki zako habari hii kwa kuwatumia kupitia mitandao ya kijamii hapa chini

About Karim Boimanda

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *