Habari za kuaminika za michezo na burudani kila wakati.

Kumbe Yanga hata Kenya ni Timu ya Wananchi Bwana

0 3,549

KAMA ulidhani Yanga inapendwa Tanzania tu basi tambua huku Nakuru kuna watu huwaambii kitu kwa watoto hao wa Jangwani.

Baada ya mchezo ambao Yanga ilifungwa mabao 3-1 na Kakamega Homeboys Jumapili iliyopita mashabiki kadhaa walionekana kuhuzunishwa na matokeo hayo kwa maelezo kuwa walitamani ingeendelea kuwepo ili wazidi kuiona.

Related Posts
1 of 32

Kuonyesha mahaba yao, mashabiki hao wa Nakuru walilivamia basi la Yanga ambalo lilikuwa likitumika na mashabiki waliosafiri kutoka Dar kisha kuanza kupiga picha kwa ajili ya kumbukumbu.

Hizi hapa ni picha za mashabiki hao;

Get real time updates directly on you device, subscribe now.

Comments
Loading...