Habari za kuaminika za michezo na burudani kila wakati.

Matokeo ya klabu bingwa ulaya

0 93

USIKU wa Jumanne ya Mei Mosi kulikuwa na mechi moja tu ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya ambapo Real Madrid waliikaribisha Bayern Munich kwenye dimba la Santiago Bernabeu.

Related Posts
1 of 32

Madrid ambao katika mchezo wa awali nchini Ujerumani walifanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1, leo wamefuzu kucheza fainali ya michuano hiyo mikubwa licha ya kulazimishwa sare ya mabao mawili.

Sasa Madrid wanasubiri mshindi wa jumla kati ya Liverpool na AS Roma ili kupambana nae kwenye fainali.

Get real time updates directly on you device, subscribe now.

Comments
Loading...