The sports Hub

Mtibwa Waifuata Dynamo na Wachezaji 18 tu

0 78

KIKOSI cha Mtibwa Sugar kinasafiri leo kuelekea nchini Shelisheli kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi Northern Dynamo unaotarajiwa kupigwa Jumanne Disemba 4.

Msafara huo utakuwa na wachezaji 18 pekee ikimaanisha hakuna hata mchezaji mmoja atakayekaa jukwaani wakati mchezo unaendelea kwani 11 watakuwa kwenye kikosi cha kwanza huku saba wakiwa benchi.

Mbali na wachezaji hao, msafara utakuwa na viongozi pamoja na maofisa wa benchi la ufundi ambao jumla yake ni watu tisa hivyo kufanya msafara huo uwe na watu 27 tu.

Hiki hapa kikosi kamili kinachosafiri:

 

Get real time updates directly on you device, subscribe now.