Afrika

Mwanjali Aibukia Hwange FC ya Zimbabwe

on

BAADA ya kutoonekana uwanjani kwa kipindi kirefu kutokana na majeruhi hatimaye beki wa Wekundu wa Msimbazi Simba, Method Mwanjali amenaswa na kamera akifanya mazoezi na timu ya Hwange FC ya nchini Zimbabwe.

Mwanjali alizaliwa katika kitongoji cha Hwange na kuanza maisha ya soka katika klabu hiyo ambayo hapo awali ilikuwa ikifahamika kama Wankie FC kabla haijabadilishwa jina na kuitwa Hwange.

Hizi hapa ni picha saba zinazomuonyesha mlinzi huyo wa kati ambaye hatma yake ndani ya Simba bado haijafahamika hasa kutokana na sintofahamu iliyopo kuhusiana na lini hasa ataruhusiwa na daktari kurejea dimbani kucheza mechi za ushindani.

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU KWA HABARI ZAIDI
Washirikishe rafiki zako habari hii kwa kuwatumia kupitia mitandao ya kijamii hapa chini

About Karim Boimanda

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *