Picha

PICHA 5: Mbaraka Yusuf Alivyokamilisha Usajili Wake Azam

on

Mapema leo mtandao huu uliripoti kuwa straika Mbaraka Yusuf alimalizana na Azam FC jana usiku kwa kuingia mkataba wa miaka miwili. Hizi hapa ni picha tano zinaoonyesha utambulisho rasmi wa fundi huyo wa kufumania nyavu

Mbaraka atatengeneza safu ya ushambuliaji akiungana na makinda wengine Waziri Junior aliyetokea Toto African pamoja na Shaaban Idd ambaye aling’ara na Wanalambalamba hao msimu uliopita

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU KWA HABARI ZAIDI
Washirikishe rafiki zako habari hii kwa kuwatumia kupitia mitandao ya kijamii hapa chini

About Karim Boimanda

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *