Picha

PICHA: Hii Ndio Ajali Iliyoondoa Uhai wa Ally Yanga

on

MWANACHAMA maarufu wa Yanga anayefahamika zaidi kwa jina la Ally Yanga amefariki dunia leo katika ajali ya gari iliyotokea Mpwapwa mkoani Dodoma.

Ally Yanga enzi za uhai wake akiwa uwanjani kuishangilia timu yake ya Yanga

Hii ndio gari iliyohusika katika ajali iliyoondoa uhai wa Ally.

Ally alikuwa kwenye msafara wa mbio za mwenge ambako amekuwa kwa kipindi kirefu kilichomfanya asionekane viwanjani.

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU KWA HABARI ZAIDI
Washirikishe rafiki zako habari hii kwa kuwatumia kupitia mitandao ya kijamii hapa chini

About Karim Boimanda

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *