Picha

PICHA: Mashabiki Stars wanavyochanja Mbuga kwenda Rwanda

on

Kikundi maalum kwa ajili ya kuzishangilia timu za taifa za Tanzania maarufu kama Stars Supporters kilianza safari jana saa 1 usiku jijini Dar es Salaam kuelekea jijini Kigali kwenda kuipa nguvu Taifa Stars.

Afsa habari wa TFF, Alfred Lucas kulia akiwa na dereva wa basi la Azam FC linalotumika kuwasafirisha mashabiki hao

 

Stars inarudiana na timu ya taifa ya Rwanda ‘Amavubi’ kesho kuanzia majira ya saa 10 alasiri (saa za Rwanda) kwenye uwanja wa Amahoro

Stars inahitaji ushindi wowote au sare ya kuanzia mabao mawili ili kuwaondoa Wanyarwanda hao

Hii ni sehemu ya wanachama wa Stars Supporters ambao wanatarajia kuwasili mpakani mwa nchi za Tanzania na Rwanda (Rusumo) majira ya saa 1 usiku wa leo ili wavuke na kuingia Kigali kabla ya saa 6 usiku

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU KWA HABARI ZAIDI
Washirikishe rafiki zako habari hii kwa kuwatumia kupitia mitandao ya kijamii hapa chini

About Karim Boimanda

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *