Picha

PICHA: Mazoezi ya Everton uwanja wa Taifa

on

Wayne Rooney akiingia chini ya ulinzi mkali kwenye vyumba vya kubadilishia jezi kabla ya kuanza mazoezi

Everton imefanya mazoezi ya mwisho kwenye uwanja wa Taifa ambao utatumika kwa ajili ya mechi ya kesho ya kirafiki dhidi ya Gor Mahia

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU KWA HABARI ZAIDI
Washirikishe rafiki zako habari hii kwa kuwatumia kupitia mitandao ya kijamii hapa chini

About Akram Msangi

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *