Picha

PICHA: Mazoezi ya Yanga asubuhi ya leo

on

Straika Donald Ngoma amejiunga na wenzake na tayari ameshaanza kujifua. ‘Mziki’ wake utakuaje msimu huu?

Kiungo mpya Raphael Daud ambaye hapo jana alisaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Yanga aliwasili kambini jana hiyo hiyo na leo asubuhi ameliamsha ‘dude’

Beki Andrew Vicent (kushoto) na Ibrahim Ajibu (katikati) wakiwajibika pamoja na Raphael

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU KWA HABARI ZAIDI
Washirikishe rafiki zako habari hii kwa kuwatumia kupitia mitandao ya kijamii hapa chini

About Karim Boimanda

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *