Picha

PICHA 4: Ramos alivyokaribishwa mazoezini na Zidane

on

NAHODHA wa mabingwa wa soka barani Ulaya Real Madrid, Sergio Ramos amejiunga na wenzake leo kwenye mazoezi ya kujiandaa na msimu mpya wa ligi mbalimbali zikiwemo La Liga, Ligi ya mabingwa Ulaya na kombe la Mfalme.

Hizi hapa ni baadhi ya picha zikimuonyesha beki huyo mtaalamu wa kufunga mabao ya ‘jioni’ alivyopokelewa na kocha Zinedine Zidane.

 

Kwa upande wa mshindi wa tuzo ya Ballon d’Or, Cristiano Ronaldo taarifa zinasema atajiunga na wenzake mwishoni mwa mwezi huu huku akitarajiwa kukosa mechi ya Super Cup dhidi ya Manchester United.

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU KWA HABARI ZAIDI
Washirikishe rafiki zako habari hii kwa kuwatumia kupitia mitandao ya kijamii hapa chini

About Karim Boimanda

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *