Picha

PICHA: Safari ya Mwisho ya Shose wa Simba

on

Mwili wa marehemu Shose ukiingiziwa kwenye gari baada ya kutolewa hospitali ya Mwananyamala

 

Gari iliyobeba mwili wa marehemu Shose

 

Jeneza likiingizwa ndani ya kanisa la RC Magomeni kwa ajili ya ibada ya kumuombea

 

Mashabiki wa Yanga pia walijitokeza katika shughuli hiyo ya kumuombea na kumuaga shabiki huyo mkubwa wa Simba na Manchester United

 

Viongozi wa tawi la Simba Damu Fans (SDF) ambalo Shose alikuwa mmoja wa wanachama wake, wakijadili masuala mbalimbali yahusuyo safari ya mwisho ya mwenzao huyo

 

Rais wa Simba, Evans Aveva (kulia) na makamu wake Goeffrey Nyange ‘Kaburu’ wakiwa ndani ya kanisa wakati wa ibada

 

Mwanachama wa Simba Hajji Manara akitoa neno la shukrani kanisani hapo baada ya ibada kumalizika

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU KWA HABARI ZAIDI
Washirikishe rafiki zako habari hii kwa kuwatumia kupitia mitandao ya kijamii hapa chini

About Karim Boimanda

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *