Picha

PICHA: Samatta Alivyovuta ‘Jiko’ Jana Usiku Dar

on

KIUNGO wa timu ya soka ya Tanzania Prisons, Mohamed Samatta usiku wa jana amefanikiwa kuuaga ukapera baada ya kufunga ndoa maeneo ya Mbagala jijini Dar es Salaam.

Nakuozesha….

Mohamed Samatta akisaini cheti cha ndoa mara baada ya ndoa kufungwa

 

Mohamed na mkewe katika tabasamu zito….raha ya ndoa!

Hapa ‘Mido’ ndio alikuwa anaondoka na chake

 

Safari ya kuelekea nyumbani kwa baba wa Mohamed, mzee Ally Samatta ambako aliandaa ‘mnuso’ maalum.

Straika wa KRC Genk na Taifa Stars, Mbwana Samatta ambaye ni ‘bwamdogo’ wa Mohamed alihudhuria tukio hilo. Kulia ni baba yao Mzee Samatta

Kipa wa zamani wa Simba na African Sports ambaye kwasasa anakipiga katika ligi kuu ya Kenya, Kabaly Faraji alikuwepo kumsindikiza Mohamed

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU KWA HABARI ZAIDI
Washirikishe rafiki zako habari hii kwa kuwatumia kupitia mitandao ya kijamii hapa chini

About Karim Boimanda

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *