The sports Hub

Ratiba Kombe la Mapinduzi 2019

0 406

MICHUANO ya Kombe la Mapinduzi inatarajiwa kuanza Januari Mosi 2019 kwenye uwanja wa Amaan mjini Unguja huku ikishirikisha pia vigogo Simba, Yanga na mabingwa watetezi Azam FC kutoka Tanzania Bara. Hii hapa ratiba kamili.

Get real time updates directly on you device, subscribe now.