The sports Hub

SAMATTA: Simba ni Bora Kuliko Mazembe

0 828
STRAIKA wa KRC Genk ya Ubelgiji na nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania, Mbwana Samatta amesema amesema kikosi cha Simba cha sasa ni bora zaidi ya cha TP Mazembe.
Akizungumzia mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika utakaozikutanisha timu hizo Jumamosi hii, Samatta alisema Mazembe wanawazidi Simba uzoefu tu ila kwa ubora wa mcgezaji mmoja mmoja Simba wapo juu zaidi.
Tazama mahojiano kamili kwenye video hii hapa chini.

Get real time updates directly on you device, subscribe now.