The sports Hub

Simba Ilivyopaa Asubuhi Hii Kuifuata Mbabane

0 456

KIKOSI cha Simba SC kimeondoka asubuhi ya leo kuelekea nchini Afrika Kusini kabla ya kuunganisha ndege hadi Mbabane, eSwatini ambako watavaana na Mbabane Swallows ya nchini humo katika mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa barani Afrika.

Simba iliibuka na ushindi wa mabao 4-1 katika mchezo wa kwanza uliopigwa kwenye dimba la taifa jijini Dar es Salaam.

Hizi hapa picha za matukio ndani ya ndege katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere (JNIA)

Picha kwa hisani ya Klabu ya Simba.

Get real time updates directly on you device, subscribe now.