The sports Hub

Simba ‘Walivyotesti’ Mitambo Huko Mbabane Jana

0 380

KIKOSI cha Wekundu wa Msimbazi, Simba jana jioni kiliwasili mjini Mbabane kwa ajili ya mchezo wao wa marudiano wa Klabu Bingwa Afrika dhidi ya Mbabane Swallows na moja kwa moja wakaenda kupasha misuli uwanjani.

Baada ya kupata ushindi wa mabao 4-1 katika mchezo wa nyumbani, Simba wamepania si tu kuwaondoa wababe hao wa Eswatini bali kuwaondoa kwa kuwapa kichapo kingine wakiwa nyumbani kwao katika mchezo huo unaotarajiwa kuchezwa kesho Jumanne.

Hizi hapa picha za mazoezi hayo;

Picha zote kwa hisani ya klabu ya Simba.

Get real time updates directly on you device, subscribe now.