Kitaifa

Tazama basi la Everton lilivyorudi mzigoni Dar-Dodoma

on

Baada ya kumaliza majukumu yake basi la Everton limerejea mzigoni kubeba abiria kati ya Dar es Salaam na Dodoma kama kawaida.

Kilichovuta hisia za watu wengi zaidi ni basi hilo kurudi barabarani likiwa na stika za Everton.

Kikosi hicho kimeondoka nchini na kinatarajiwa kupambana na KRC Genk ya Ubelgiji anayochezea mtanzania Mbwana Samatta Julai 22.

 

USISAHAU KU LIKE PAGE YETU KWA HABARI ZAIDI
Washirikishe rafiki zako habari hii kwa kuwatumia kupitia mitandao ya kijamii hapa chini

About Sheila Ally

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *